sw_tn/1ch/17/09.md

28 lines
722 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mungu anaendelea kuzungumza ujumbe Nathani anao paswa kumpa Daudi.
# nitawapanda hapo
Mungu ana taja kuwaweka Waisraeli kwenye nchi ya ahadi kama mmea aliyo uotesha kwenye ardhi. "Nitawapandikisha hapo"
# siku zile nilipo waamuru
Kipindi cha vizazi vingi kina tajwa kama siku. "nilipo amuru" au kutoka vizazi nilivyo amuru"
# kuwa juu ya watu wangu Waisraeli
Kuwa katika mamlaka yaelezwa kama kua juu ya mtu. "kuwaamuru watu wangu Israeli"
# maadui zako wote ... nina kwambia
Maneno "zako" na "nina kwambia" ya muhusu Daudi.
# nitawatiisha
kumfanya mtu au mnyama asiweze kutembea.
# nitakujengea nyumba
Yahweh anaeleza kumpa Daudi wazao wengi kutawala juu ya Israeli kama kumjenga nyumba.