sw_tn/1ch/17/01.md

16 lines
482 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuwa katika nyumba yake
kuridhika na kuwa na furaha, bila tamanio la kuhama wala kubadilika.
# nyumba jengwa na mierezi
Mbao za kutoka kwenye miti ya mierezi ili hesabiwa kuwa mbao bora ya ujenzi.
# fanya yalio moyoni mwako
Daudi anaelezwa afanye sawa na sehemu ya mwili yenye hisia. "fanya utakacho taka kufanya"
# Mungu yupo nawe
Kuwa katika makubaliano na Mungu ni kama kufanya kazi naye kwasababu Mungu atakusaida kufanikiwa. "Mungu akubaliana na unacho taka kufanya"