# kuwa katika nyumba yake kuridhika na kuwa na furaha, bila tamanio la kuhama wala kubadilika. # nyumba jengwa na mierezi Mbao za kutoka kwenye miti ya mierezi ili hesabiwa kuwa mbao bora ya ujenzi. # fanya yalio moyoni mwako Daudi anaelezwa afanye sawa na sehemu ya mwili yenye hisia. "fanya utakacho taka kufanya" # Mungu yupo nawe Kuwa katika makubaliano na Mungu ni kama kufanya kazi naye kwasababu Mungu atakusaida kufanikiwa. "Mungu akubaliana na unacho taka kufanya"