sw_tn/1ch/16/19.md

16 lines
353 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nilisema hili mlipo kuwa wachache kwa idadi, wachache sana
"Yahweh alisema hili Waisraeli walipo kuwa kundi dogo la watu"
# wageni katika nchi
"wageni katika nchi"
# Walienda taifa hadi taifa, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine
Haya maneno yanashiriki maana moja na kutilia mkazo umbali Waisraeli walivyo tanga.
# kwa ajili yao
"kwa sababu yao"