# Nilisema hili mlipo kuwa wachache kwa idadi, wachache sana "Yahweh alisema hili Waisraeli walipo kuwa kundi dogo la watu" # wageni katika nchi "wageni katika nchi" # Walienda taifa hadi taifa, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine Haya maneno yanashiriki maana moja na kutilia mkazo umbali Waisraeli walivyo tanga. # kwa ajili yao "kwa sababu yao"