sw_tn/1ch/16/10.md

12 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika jina lake takatifu
"vile Mungu alivyo"
# mioyo ya wanao mtafuta Yahweh
"acha hao wanaotaka kumjua Yahweh zaidi"
# Mtafute Yahweh na nguvu zake; tafuteni uwepo wake siku zote
Haya maneno yanashiriki maana moja na yanatumika kutia mkazo. "Mtafute Yahweh na nguvu zake; tafuta kuwa karibu naye daima"