# katika jina lake takatifu "vile Mungu alivyo" # mioyo ya wanao mtafuta Yahweh "acha hao wanaotaka kumjua Yahweh zaidi" # Mtafute Yahweh na nguvu zake; tafuteni uwepo wake siku zote Haya maneno yanashiriki maana moja na yanatumika kutia mkazo. "Mtafute Yahweh na nguvu zake; tafuta kuwa karibu naye daima"