sw_tn/1ch/15/27.md

20 lines
496 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Daudi alivishwa joho safi la maridadi, pamoja na Walawi walio beba sanduku, waimbaji, na Kenania, kiongozi wa nyimbo na waimbaji
"Daudi, Walawi, na waimbaji wote walivaa mavazi safi ya majoho"
# Joho
Hii ni aina nyororo, ya kitamba kigumu.
# Kenania
Hili ni jina la mwanaume
# Hivyo Israeli yote wakaleta sanduku la agano la Yahweh
"Hivyo umati mkubwa wa Waisraeli walileta sanduku la agano la Yahweh kutoka nyumba ya Obedi Edomu hadi Yerusalemu"
# upatu
Ona jinsi ulivyo tafsiri 13:7