# Daudi alivishwa joho safi la maridadi, pamoja na Walawi walio beba sanduku, waimbaji, na Kenania, kiongozi wa nyimbo na waimbaji "Daudi, Walawi, na waimbaji wote walivaa mavazi safi ya majoho" # Joho Hii ni aina nyororo, ya kitamba kigumu. # Kenania Hili ni jina la mwanaume # Hivyo Israeli yote wakaleta sanduku la agano la Yahweh "Hivyo umati mkubwa wa Waisraeli walileta sanduku la agano la Yahweh kutoka nyumba ya Obedi Edomu hadi Yerusalemu" # upatu Ona jinsi ulivyo tafsiri 13:7