sw_tn/1ch/11/24.md

12 lines
380 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akatajwa miongoni mwa wale wanaume hodari watatu
"alikuwa maarufu kama wanaume hodari 3"
# Alisifika zaidi ya wale wanajeshi thelathini kwa ujumla, lakini hakuwa pewa hadhi ya wale wanajeshi watatu hodari
"Watu walimheshimu kuliko wana jeshi wale 30, lakini sio zaidi ya wale 3 wenye ujuzi wa juu"
# walinzi
Huyu ni mtu au kundi la watu wenye wajibu wakumlinda mtu muhimu.