sw_tn/1ch/10/07.md

20 lines
390 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kila mwanaume wa Israeli
"Wanaume wa Israeli walipo"
# kuishi humo
"waliishi katika miji ya Waisraeli"
# Ikawa siku
Hili neno hapa la tumika kueka alama ya tukio muhimu katika historia. Kama lugha yako ina namna ya kufanya hivi, fikiria kutumia hapa.
# kukagua wafu
"kuchukuwa kila kitu cha thamani miilini mwa wafu"
# Sauli na wana wake wameanguka
"Sauli na wana wake wamekufa"