# Kila mwanaume wa Israeli "Wanaume wa Israeli walipo" # kuishi humo "waliishi katika miji ya Waisraeli" # Ikawa siku Hili neno hapa la tumika kueka alama ya tukio muhimu katika historia. Kama lugha yako ina namna ya kufanya hivi, fikiria kutumia hapa. # kukagua wafu "kuchukuwa kila kitu cha thamani miilini mwa wafu" # Sauli na wana wake wameanguka "Sauli na wana wake wamekufa"