sw_tn/1ch/09/33.md

16 lines
502 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walipo kuwa hawafanyi kazi
"hawakuwa na haja ya kufanya kazi nyingine"
# kufanya kazi walio pangiwa
"waliitaji kukamilisha kazi yao ya kupangiwa"
# usiku na mchana
Hii ina maanisha "wakati wote" na ya weza kufasiriwa kwa kutumia maneno au neno kutoka lugha yako au tamaduni yako yenye kuleta maana moja
# Hawa walikuwa viongozi wa familia miongoni mwa Walawi, kama ilivyo orodheshwa katika kumbukumbu za uzao wao
" Historia ya familia orodha yake yataja majina ya Walawi viongozi wa familia"