# walipo kuwa hawafanyi kazi "hawakuwa na haja ya kufanya kazi nyingine" # kufanya kazi walio pangiwa "waliitaji kukamilisha kazi yao ya kupangiwa" # usiku na mchana Hii ina maanisha "wakati wote" na ya weza kufasiriwa kwa kutumia maneno au neno kutoka lugha yako au tamaduni yako yenye kuleta maana moja # Hawa walikuwa viongozi wa familia miongoni mwa Walawi, kama ilivyo orodheshwa katika kumbukumbu za uzao wao " Historia ya familia orodha yake yataja majina ya Walawi viongozi wa familia"