sw_tn/1ch/09/01.md

8 lines
221 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa hivyo watu wote wa Israeli walinakiliwa ki uzao
Nakala ya uzao yaeleza kumbukumbu ya uzao wa familia au mababu wa mtu.
# Walinakiliwa katika vitabu vya kifalme vya Israeli
Hii ya husu kitabu ambacho hakipo tena.