# Kwa hivyo watu wote wa Israeli walinakiliwa ki uzao Nakala ya uzao yaeleza kumbukumbu ya uzao wa familia au mababu wa mtu. # Walinakiliwa katika vitabu vya kifalme vya Israeli Hii ya husu kitabu ambacho hakipo tena.