sw_rom_text_reg/11/33.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 33 Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Hazichunguziki hukumu zake, na njia zake hazigunduliki! \v 34 "Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani amekuwa mshauri wake?