sw_rom_text_reg/11/26.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 26 Hivyo Israeli wote wataokoka, kama ilivyoandikwa: "Kutoka Sayuni atakuja Mkombozi. Atauondoa uovu kutoka kwa Yakobo. \v 27 Na hili litakuwa agano langu pamoja nao, wakati nitakapoziondoa dhambi zao."