sw_rom_text_reg/11/04.txt

1 line
208 B
Plaintext

\v 4 Lakini jibu la Mungu lasema nini kwako? "Nimetunza kwa ajili yangu watu elfu saba ambao hawampigii magoti Baali." \v 5 Hata hivyo, wakati huu wa sasa pia kuna walio salia kwa sababu ya uchaguzi wa neema.