sw_rom_text_reg/11/06.txt

1 line
333 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 6 Lakini ikiwa ni kwa neema, si tena kwa matendo. Vinginevyo neema haitakuwa tena neema. \v 7 Ni nini basi? Jambo ambalo Israeli alikuwa akitafuta, hakukipata, bali wateule walikipata, na wengine walitiwa uzito. \v 8 Ni kama ilivyoandikwa: "Mungu amewapa roho ya ubutu, macho ili wasione, na masikio ili wasisikie, mpaka leo hii."