sw_mrk_text_ulb/06/45.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 45 Mara akawaambia wapande kwenye mashua waende sehemu nyingine, hadi Bethsaida, wakati Yeye akiwaaga makutano. \v 46 Walipokuwa wamekwisha kuondoka, akaenda mlimani kuomba. \v 47 Kulipokuwa jioni, na mashua yao wakati huo ikiwa katikati ya bahari, naye alikuwa peke yake nchi kavu.