1 line
472 B
Plaintext
1 line
472 B
Plaintext
\v 12 Katika siku ya kwanza ya mkate usiotiwa chachu, wakati walipotoa mwanakondoo wa pasaka, wanafunzi wake walimwambia, "Unataka twende wapi tukaandae ili upate kula mlo wa Pasaka?" \v 13 Aliwatuma wanafuzi wake wawili na kuwaambia, "Nendeni mjini, na mwanamume ambaye amebeba mtungi ataonana nanyi. Mfuateni. \v 14 Nyumba atakayoingia, mfuateni na mmwambie mwenye nyumba hiyo, 'Mwalimu asema, "Kiko wapi chumba cha wageni mahali nitakapokula Pasaka na wanafunzi wangu?" |