sw_mrk_text_ulb/07/33.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 33 Alimtoa nje ya kusanyiko kwa siri, na akaweka vidole vyake kwenye masikio yake, na baada ya kutema mate, aligusa ulimi wake. \v 34 Alitazama juu mbinguni, akahema na kumwambia, "Efata," hiyo ni kusema "funguka!" \v 35 Na muda ule ule masikio yakafunguka, na kilichokuwa kimezuia ulimi kiliharibiwa na akaweza kuongea vizuri.