sw_mrk_text_ulb/07/20.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 20 Alisema, "Ni kile ambacho kinamtoka mtu ndicho kimchafuacho. \v 21 Kwa kuwa hutoka ndani ya mtu, nje ya moyo, hutoka mawazo maovu, zinaa, wizi, mauaji, \v 22 uasherati, tamaa mbaya, uovu, udanganyifu, kujamiiana, wivu, kashfa, majivuno, ujinga. \v 23 Maovu haya yote yanatoka ndani, ndiyo yale yamchafuayo mtu."