sw_mrk_text_ulb/07/14.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 14 Aliwaita makutano tena na kuwaambia, "Mnisikilize mimi, ninyi nyote, na mnielewe. \v 15 Hakuna chochote kutoka nje ya mtu ambacho chaweza kumchafua mtu kiingiapo kwake. Bali ni kile kimtokacho mtu ndicho kimchafuacho. \v 16 (Zingatia: mstari huu, "kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia, na asikie" haumo kwenye nakala za kale).