|
\v 13 Na akasema kwao, "Je hamuelewi mfano huu? Mtawezaje kuelewa mifano mingine?. \v 14 Mpanzi alipanda neno. \v 15 Baadhi ni wale walioanguka pembeni mwa njia, mahali neno lilipopandwa. Na walipolisikia, mara Shetani akaja na kulichukua neno ambalo lilipandwa ndani yao. |