sw_mrk_text_ulb/03/20.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 20 Kisha alienda nyumbani, na umati wa watu wakaja pamoja tena, hata wasiweze kula hata mkate. \v 21 Familia yake waliposikia habari hiyo, walienda kumkamata, kwani walisema, " Amerukwa na akili". \v 22 Waandishi waliokuja kutoka Yerusalemu walisema, " Amepagawa na Beelzebuli," na, " Kwa mtawala wa mapepo anatoa mapepo".