sw_mrk_text_ulb/03/01.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 1 Na tena aliingia ndani ya sinagogi na mle palikuwa na mtu mwenye mkono uliopooza. \v 2 Baadhi ya watu walikuwa wakimfuatilia kwa ukaribu kuona kama atamponya siku ya Sabato ili kwamba wamshitaki.