sw_mrk_text_ulb/13/05.txt

1 line
158 B
Plaintext

\v 5 Yesu alianza kuwaambia, "Kuweni makini kwamba mtu yoyote asiwapotoshe. \v 6 Wengi watakuja kwa jina langu wakisema, 'Mimi ndiye', na watawapotosha wengi.