sw_mrk_text_ulb/10/05.txt

1 line
175 B
Plaintext

\v 5 "Ni kwa sababu ya mioyo yenu migumu ndiyo maana aliwaandikia sheria hii," Yesu aliwaambia. \v 6 "Lakini kutoka mwanzo wa uumbaji, 'Mungu aliwaumba mwanamume na mwanamke.'