sw_mrk_text_ulb/07/27.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 27 Yesu akamwambia mwanamke, "Waache watoto walishwe kwanza, kwa kuwa sio sawa kuuchukua mkate wa watoto na kuwatupia mbwa." \v 28 Lakini mwanamke akamjibu na kusema, "Ndiyo Bwana, hata mbwa chini ya meza hula mabaki ya chakula cha watoto."