sw_mrk_text_ulb/07/17.txt

1 line
387 B
Plaintext

\v 17 Yesu alipowaacha makutano na kuingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kuhusu mfano huo. \v 18 Yesu akasema, "Na ninyi pia bado hamjaelewa? Hamuoni kwamba chochote kimuingiacho mtu hakiwezi kumchafua, \v 19 kwa sababu hakiwezi kwenda kwenye moyo wake, lakini kinaingia katika tumbo lake na kisha kinapita kwenda chooni." Kwa maelezo haya Yesu alivifanya vyakula vyote kuwa safi.