sw_mrk_text_ulb/07/08.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 8 Mmeiacha sheria ya Mungu na kushikilia kwa wepesi tamaduni za wanadamu." \v 9 Na akasema kwao, "Mmeikataa amri ya Mungu kwa urahisi ili kwamba mtunze tamaduni zenu! \v 10 Kwa kuwa Musa alisema, 'mheshimu baba yako na mama yako,' na 'Yeye asemaye mabaya juu ya baba yake au mama yake hakika atakufa.'