sw_mrk_text_ulb/07/06.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 6 Lakini yeye aliwaambia, "Isaya alitabiri vizuri kuhusu ninyi wanafiki, aliandika, 'Watu hawa wananiheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali na mimi. \v 7 Wananifanyia ibaada zisizo na maana, wakifundisha sheria za wanadamu kama mapokeo yao.'