sw_mrk_text_ulb/06/53.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 53 Nao walipovuka ng'ambo, walifika nchi ya Genesareti mashua ikatia nanga. \v 54 Walipotoka nje ya mashua, mara wakamtambua. \v 55 Wakakimbia kutangaza katika mkoa mzima na wakaanza kuwaleta wagonjwa kwa machela, kila waliposikia anakuja.