sw_mrk_text_ulb/06/30.txt

1 line
323 B
Plaintext

\v 30 Na mitume, walikusanyika pamoja mbele ya Yesu, wakamweleza yote waliyofanya na waliyoyafundisha. \v 31 Naye akawaambia, "Njooni wenyewe mahali pa faragha na tupumzike kwa muda." Watu wengi walikuwa wanakuja na kuondoka, hata hawakupata nafasi ya kula. \v 32 Hivyo wakapanda mashua wakaenda mahali pa faragha peke yao.