sw_mrk_text_ulb/06/26.txt

1 line
463 B
Plaintext

\v 26 Mfalme alisikitishwa sana, lakini kwa sababu ya kiapo chake na kwa ajili ya wageni, hakuweza kumkatalia ombi lake. \v 27 Hivyo, mfalme akatuma askari kati ya walinzi wake na kuwaagiza kwenda kumletea kichwa cha Yohana. Mlinzi alikwenda kumkata kichwa akiwa kifungoni. \v 28 Akakileta kichwa chake kwenye sahani na kumpatia binti, na binti akampa mama yake. \v 29 Na wanafunzi wake waliposikia hayo, walikwenda kuuchukua mwili wake wakaenda kuuzika kaburini.