sw_mrk_text_ulb/06/16.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 16 Lakini Herode aliposikia haya akasema, "Yohana, niliyemkata kichwa amefufuliwa." \v 17 Maana Herode mwenyewe aliagiza Yohana akamatwe na alimfunga gerezani kwa sababu ya Herodia (mke wa kaka yake Filipo) kwa sababu yeye alikuwa amemuoa.