sw_mrk_text_ulb/02/13.txt

1 line
233 B
Plaintext

\v 13 Alienda tena kando ya ziwa, na umati wote wa watu walikuja kwake, na akawafundisha. \v 14 Alipokuwa akipita alimwona Lawi mwana wa Alfayo ameketi kwenye sehemu ya kukusanyia kodi na akamwambia, "Nifuate." Alisimama na kumfuata.