sw_mrk_text_ulb/02/10.txt

1 line
401 B
Plaintext

\v 10 Lakini ili wapate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi katika dunia, alimwambia yule aliyepooza, \v 11 "Nakuambia wewe, inuka, chukua mkeka wako, na uende nyumbani kwako." \v 12 Alisimama na mara moja akachukua mkeka wake, na alikwenda nje ya nyumba mbele ya kila mtu, hivyo wote walishangaa na walimpa Mungu utukufu, na wakasema "Kamwe, hatujawahi kuona jambo kama hili."