\v 29 Akamwambia, "Kwa kuwa umesema hivi, uko huru kwenda. Pepo ameshamtoka binti yako." \v 30 Mwanamke alirudi nyumbani kwake na akamkuta binti yake amelala kitandani, na pepo alikuwa amemtoka.