\v 23 Yesu aliwaita kwake na kusema nao kwa mifano, " Jinsi gani Shetani aweza kumtoa Shetani? \v 24 Kama ufalme ukigawanyika wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. \v 25 Kama nyumba ikigawanyika yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.