sw_mat_text_ulb/22/08.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 8 Kisha aliwaambia watumishi wake, "Harusi iko tayari, lakini walioalikwa hawakustahili. \v 9 Kwa hiyo nendeni kwenye makutano ya njia kuu, waalikeni watu wengi kadri iwezekanavyo waje kwenye sherehe ya harusi." \v 10 Watumishi walienda njia kuu na kuwakaribisha watu wowote waliowaona, wema na wabaya. Hivyo ukumbi wa harusi ulijaa wageni.