sw_mat_text_ulb/20/20.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 20 Kisha mama wa wana wa Zebedayo alikuja kwa Yesu na wana wake. Alipiga magoti mbele yake na kumwomba kitu kutoka kwake. \v 21 Yesu akamwambia, "Unataka nini?" Akamwambia, ''Amuru kuwa hawa wanangu wawili wakae, mmoja mkono wako wa kulia na mmoja mkono wako wa kushoto katika ufalme wako.''