sw_mat_text_ulb/20/05.txt

1 line
387 B
Plaintext

\v 5 Akaenda tena baada ya masaa sita na tena katika saa ya tisa, na alifanya hivyo hivyo. \v 6 Mara nyingine tena mnamo saa kumi na moja, alienda na kuwakuta watu wengine wamesimama bila kazi. Aliwaambia, 'kwanini mmesimama hapa bila kazi yoyote kwa siku nzima? \v 7 Wakamwambia, kwasababu hakuna mtu yeyote aliyetuajiri. Akawaambia, 'Nanyi ninyi pia nendeni katika shamba la mizabibu.'