sw_mat_text_ulb/19/25.txt

1 line
308 B
Plaintext

\v 25 Wanafunzi waliposikia hivyo, wakashangaa sana na kusema, "Ni yupi basi atakayeokoka?" \v 26 Yesu akawatazama na kusema, "Kwa wanadamu hilo haliwezekani, lakini kwa Mungu yote yanawezekana." \v 27 Kisha Petro akamjibu na kumwambia, "Tazama, tumeacha vyote na kukufuata wewe. Ni kitu gani tutakachopata?"