sw_mat_text_ulb/19/23.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 23 Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kweli nawaambieni, ni vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni. \v 24 Tena nawaambieni, ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa mtu tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu."