sw_mat_text_ulb/19/20.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 20 Mtu yule akamwambia, "Mambo yote hayo nimeyatii. Bado ninahitaji nini? \v 21 "Yesu akamwambia, "Kama ukitaka kuwa mkamilifu, nenda, ukauze ulivyo navyo, na uwape maskini, na utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo unifuate." \v 22 Lakini kijana yule aliposikia yale Yesu aliyomwambia, akaondoka kwa huzuni, kwa sababu alikuwa na amemiliki mali nyingi.