sw_mat_text_ulb/19/07.txt

1 line
362 B
Plaintext

\v 7 Wakamwambia, "Sasa kwa nini Musa alituamuru kutoa hati ya talaka na kumwacha?" \v 8 Akawaambia, "Kwa ugumu wenu wa mioyo Musa aliwaruhusu kuwaacha wake zenu, lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo. \v 9 Nawaambieni, kwamba yeyote atayemwacha mke wake, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, na akamwoa mwingine, amezini. Na mwanaume atakayemwoa mke aliyeachwa amezini."