sw_mat_text_ulb/17/26.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 26 Na wakati Petro aliposema, "Kutoka kwa wageni" Yesu akamwambia, hivyo watawaliwa wameondolewa katika ulipaji. \v 27 Lakini tusije tukawafanya watoza ushuru wakatenda dhambi, nenda baharini, tupa ndoano, na umtwae yule samaki ajaye kwanza. Baada ya kuufungua mdomo wake, utakuta mle shekeli moja. Ichukue na uwape watoza ushuru kwa ajili yangu na wewe.